Almasi Nyekundu - Hadithi Fupi ya Mapenzi - E-book - ePub

Note moyenne 
- Olrik et - Lust - Almasi Nyekundu - Hadithi Fupi ya Mapenzi.
"Ulimi wangu ndio ulikuwa umegusa chuchu ile nyingine wakati kupumua kwake kulionekana ni kama aliyekuwa karibu kufika kilele. "Jiwe lina ukubwa gani?"... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

"Ulimi wangu ndio ulikuwa umegusa chuchu ile nyingine wakati kupumua kwake kulionekana ni kama aliyekuwa karibu kufika kilele. "Jiwe lina ukubwa gani?" Nikauliza. Akasema: "Imetosha..." Nikaingiza chuchu yake mdomoni mwangu tena. Alikuwa akitetemeka kama jani sasa, na ningeweze kufungua sindiria yake kwa urahisi. Matiti yake machanga ya kuvutia yalikuwa yamechangamka, akiwa na chuchu ngumu na zilizochomoza.
Nikamkaribia, nikainamisha kichwa kidogo na nikarudia swali langu: "Jiwe lina ukubwa gani?" " Wakati mpelelezi wa kibinafsi anayepitia changamoto za maisha anapoulizwa kukutana na mteja mpya, mwanamke mchanga, ndani ya baa ya kutisha, alikubali. Haamini hadithi yake ya kuhuzunisha hata kidogo, lakini anavutia sana hadi anakubali kudanganya. Ni nani anayejua ikiwa mteja huyu anayevutia alikuwa na mambo mengine akilini...
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-24285-0
  • EAN
    9788726242850
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    15 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      15
    • Taille
      61 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Almasi Nyekundu - Hadithi Fupi ya Mapenzi est également présent dans les rayons

0,99 €