Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi - E-book - ePub

Note moyenne 
- Olrik et - Lust - Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi.
"Jenny anaamua japo kwa shingo upande kuiza nyumba yake yenye muundo wa mashua ili aweze kufadhili utafiti wa mradi wake wa kianthropolojia nchini Malaysia.... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

"Jenny anaamua japo kwa shingo upande kuiza nyumba yake yenye muundo wa mashua ili aweze kufadhili utafiti wa mradi wake wa kianthropolojia nchini Malaysia. Kwa mara ya kwanza hakuna wanunuzi wanoonyesha nia ya kutaka kununua, lakini siku moja akiwa amesimama nje, akiipaka rangi mashua, mwanamme aliyevalia kitanashati anakuja kuiona mashua ile. Lakini si mashua pekee ambayo anaitamani... Anaonekana kuvutiwa sana, na Jenny naye anagundua kuwa amevutiwa sana na mwili wake kuliko pesa zake..." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust.
Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-21658-5
  • EAN
    9788726216585
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    15 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      15
    • Taille
      72 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi est également présent dans les rayons

0,99 €