Hisia ya Hatia Ichomayo - E-book - ePub

Note moyenne 
Inger Gammelgaard Madsen - Hisia ya Hatia Ichomayo.
Johan Boje, msaidizi wa polisi wa Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland anafariki baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi akiwa nje... Lire la suite
2,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Johan Boje, msaidizi wa polisi wa Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland anafariki baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi akiwa nje ya nyumbani kwake usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Alex Borg, ni mmoja wa watu wa kwanza kufika kwenye eneo la tukio. Kwa haraka anagundua kuwa hii si ajali ya kawaida ya kugongwa na gari na kisha mtuhumiwa kuhepa, lakini ni mauaji ya kikatili.
Mwanake Boje mwenye umri wa miaka tisa anadai kuwa aliliona gari hilo, na kwamba lilikuwa linaendeshwa na afisa wa polisi. Je, ni fikra za kijana huyo mwenye mfadhaiko zinamchezea shere? Kamera ya uchunguzi ya kituo cha mafuta inathibitisha masimulizi ya mtoto - mtu fulani aliyekuwa amevalia sare za polisi alikuwa anaendesha gari hilo wakati wa usiku huo wa ajali ya mauti. Roland Benito, mpelelezi katika Mamlaka ya Malalamishi ya Polisi, anapewa usukani wa kuendesha kesi.
Ni nani kati ya marafiki wa Johan Boje alikuwa na nia ya kutenda maovu kama hayo? Rolando Benito anaungana na Anne Larsen, mwanahabari kutoka kituo cha televisheni cha TV2 East Jutland. Wanafuatilia alama za magurudumu hadi kwenye moto, ambao ulikuwa na hasara kubwa kwa familia ya eneo hilo. Labda moto huo haukuwa ajali? Anne na Rolando wanakisia kuwa huenda nia ikawa ni tofauti sana na kile walichotarajia mwanzoni.
Msako wa kumtafuta mhalifu huyo unaanza kabla hajafanya shambulizi lingine.

Caractéristiques

  • Date de parution
    08/10/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-28356-3
  • EAN
    9788726283563
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    125 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      125
    • Taille
      184 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Hisia ya Hatia Ichomayo est également présent dans les rayons

2,99 €