Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 1 - E-book - ePub

Note moyenne 
Inger Gammelgaard Madsen et Saga Egmont - Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 1.
Johan Boje, afisa wa jeshi la polisi la Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland, anauawa na dereva anayemgonga na kisha kutoroka mbele ya nyumba yake, usiku... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Johan Boje, afisa wa jeshi la polisi la Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland, anauawa na dereva anayemgonga na kisha kutoroka mbele ya nyumba yake, usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Axel Borg, ni mmojawapo wa watu wa kwanza kuwasili katika eneo la tukio na hapa, anagundua kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kikatili. Mwanawe Johan Boje mwenye umri wa miaka tisa anasema kuwa aliliona gari na dereva, ambaye anadai alikuwa ni afisa wa polisi.
Je, huu ni ubunifu unaofanana na ukweli wa mvulana huyo? Wakati kamera ya upelelezi inapothibitisha madai ya mwanawe, Roland Benito, mpelelezi katika Tume Huru ya Malalamishi ya Polisi, anapewa kesi hiyo. Je, mmoja wa marafiki za Johan alikuwa na nia ya kufanya mauaji hayo ya kinyama?

Caractéristiques

  • Date de parution
    08/10/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-28362-4
  • EAN
    9788726283624
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    25 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      25
    • Taille
      92 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 1 est également présent dans les rayons

0,99 €