Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2 - E-book - ePub

Note moyenne 
Inger Gammelgaard Madsen et Saga Egmont - Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2.
Liv Løkke anafanya kazi kwenye duka la jumla la Netto lililoko Paderup, kama mhudumu katika eneo la kulipia. Anachukia mji huo, yeye mwenyewe, kazi yake,... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Liv Løkke anafanya kazi kwenye duka la jumla la Netto lililoko Paderup, kama mhudumu katika eneo la kulipia. Anachukia mji huo, yeye mwenyewe, kazi yake, na maisha yake yasiyo na umuhimu; na hata hana haja ya kuwaangalia wanunuzi kujua ni akina nani. Anajua watu wengi kwenye eneo hilo na mitindo yao ya ununuzi. Lakini siku moja, inambidi amwangalie mteja fulani aliyenunua bidhaa ambayo ilimkumbusha maisha yaliyopita, na siku ile yenye mkasa ambapo alimuokoa kaka yake kutoka kwa nyumba iliyokuwa ikiteketea moto, baada ya mlipuko wa gesi kumuua mamake.
Ni yeye... mpenzi wa mamake. Anadai kuwa na ushahidi kuwa kifo cha mama yake hakikuwa ajali.

Caractéristiques

  • Date de parution
    08/10/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-28361-7
  • EAN
    9788726283617
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    25 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      25
    • Taille
      92 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2 est également présent dans les rayons

0,99 €