Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili) - E-book - ePub

Note moyenne 
 Ekiuwa Aire - Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili).
Zaidi ya miaka 4, 000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza... Lire la suite
4,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Zaidi ya miaka 4, 000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza unabiiImhotep alikuwa na uwezo wa kuona kupitia matatizo magumu na mara nyingi alikuwa akijaribu mbinu na majaribio mapya. Alikuwa na talanta nyingi, na kama mbunifu, Imhotep alitengeneza piramidi yenye hatua huko Sakkara - moja ya miundo ya ajabu kwenye historia ya kale.
Bado piramidi yenye hatua ipo imara mpaka leo. Kwenye kurasa za kitabu hiki, utagundua Misri anayoifahamu Imhotep, anapokua kutoka kijana mdadisi na kuwa mmoja wa wanaume waliofanikiwa zaidi, werevu na wanaojulikana sana kule Misri ya kale.

Caractéristiques

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili) est également présent dans les rayons

4,99 €