Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi - E-book - ePub

Note moyenne 
Linda G et - Lust - Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi.
"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani,... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu.
Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-21655-4
  • EAN
    9788726216554
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    15 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      15
    • Taille
      51 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi est également présent dans les rayons

0,99 €