Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi - E-book - MP3

Note moyenne 
Sarah Skov et - Lust - Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi.
"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada... Lire la suite
2,99 € E-book - audio
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba. Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu. Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba. Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa." Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi.
Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo. Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu. Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake. Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake. Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza... Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust.
Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.

Caractéristiques

  • Date de parution
    27/09/2019
  • Editeur
  • Collection
  • ISBN
    978-87-26-27093-8
  • EAN
    9788726270938
  • Format
    MP3
  • Caractéristiques du format MP3
    • Taille
      34 744 Ko
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi est également présent dans les rayons

2,99 €