Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi - E-book - ePub

Note moyenne 
Marianne Sophia Wise et - Lust - Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi.
"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi, " Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini.
Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku.
Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara. Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-21656-1
  • EAN
    9788726216561
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    15 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      15
    • Taille
      61 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi est également présent dans les rayons

0,99 €