Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya - E-book - ePub

Note moyenne 
Inger Gammelgaard Madsen et - Lust - Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya.
Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo alikuwa amehukumiwa kufungwa jela. Baba yake wakili huyu wa utetezi ambaye alikuwa jaji wa mahakama ya juu ametoweka na hajapatikana alipo. Anne yupo kwenye jela ili kumhoji askari jela kuhusiana na mfungwa aliyefariki kutokana na kunywa dawa kupita kiasi, wakati Patrick Asp kwa usiri anaweza kumpa barua.
Patrick Asp ameandika kuwa alifungwa kimakosa na kuwa mke wake alihusika katika kufanya hivi. Anne anamtafuta mwanamke huyu kwenye mkahawa anaoufanyia kazi. Pia anakutana na mwana wa mwanamke huyu, ndiye Bertram, na Anne anahisi kwamba wawili hawa wanaficha jambo. Kuna jambo lenye shauku kuhusu Uwe Finch pia, mwanamume ambaye mamake Bertam ana uhusiano naye. Anaonekana kama anayeficha kujitambua kwa hakika, na Anne anawasiliana na Roland Benito ili kutafuta msaada wake katika kutambua mwanamume huyu anaweza kuwa ni nani haswa. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-27081-5
  • EAN
    9788726270815
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    23 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      23
    • Taille
      82 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya est également présent dans les rayons

0,99 €