Mnadhifishaji Tukio la 5: Wewe ndiye Unayefuata - E-book - ePub

Note moyenne 
Inger Gammelgaard Madsen et - Lust - Mnadhifishaji Tukio la 5: Wewe ndiye Unayefuata.
Anne Larsen anamuonyesha Roland picha ya Uwe Finch, na Roland kwa hakika haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayemfanana, anatambua baadhi ya sehemu za uso... Lire la suite
0,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Anne Larsen anamuonyesha Roland picha ya Uwe Finch, na Roland kwa hakika haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayemfanana, anatambua baadhi ya sehemu za uso wake. Kuna jambo kuhusu macho yake jinsi yamekaribiana sana. Ila haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayefanana vile kwani alifariki miaka kadhaa iliyopita katika moto kwenye hoteli. Wakati mchoro wa vidole unatambua kuwa kwa hakika huyu ni mwanamume yule ambaye Roland alihofia kuwa ndiye, anapata azma ya kutambua ni kwa nini mwanamume huyu alirejea na kutambuliwa vingine na kwa nini anaweza kuwa katika eneo la Aarhus.
Mama yake Bertram anapata jaketi iliyotengenezwa kwa ngozi iliyoibwa katika chumba cha Bertram na anataka kumrejeshea mpenzi wake. Kwa mara nyingine, Bertram anajaribu kumfikia na kumfanya aelewe kuwa maisha yake yako hatarini ila mama yake amekasirika na anakataa kumsikiliza. Mama yake anadai kuwa Bertram ana wivu tu na kuwa ni Bertram aliyemuua dada yake mdogo. Bertram amekasirika, anavuta sigara moja na kulala huku runinga ikiwa imewaka.
Akiwa katika hali hii ya kulewa, kwa mara moja anagundua ukweli wa kutisha. Usiku unapoisha Bertram anagutuka kutoka kwa jhali ile ya kutunduwaza, anampata mama yake hajarejea nyumbani. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Caractéristiques

  • Date de parution
    11/09/2019
  • Editeur
  • ISBN
    978-87-26-27082-2
  • EAN
    9788726270822
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    23 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      23
    • Taille
      92 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Mnadhifishaji Tukio la 5: Wewe ndiye Unayefuata est également présent dans les rayons

0,99 €