Ronin 1-5 - E-book - ePub

Note moyenne 
Jesper Nicolaj Christiansen et Saga Egmont - Ronin 1-5.
RONIN 1 - UPANGA Mvulana anaamka katikati ya msitu. Hajitambui au kutambua jinsi alivyofika pale. Kwa usaidizi wa watu tofauti na wanyama, na pia mkuki... Lire la suite
2,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

RONIN 1 - UPANGA Mvulana anaamka katikati ya msitu. Hajitambui au kutambua jinsi alivyofika pale. Kwa usaidizi wa watu tofauti na wanyama, na pia mkuki ulio na uwezo wa kipekee, Ronin huyu anapitia matukio mengi. Wakati ambapo kijiji kinahitaji ulinzi wake, lazima ajifunze kupigana kwa heshima ya wakulima anaowaokoa, na kwa ajili yake mwenyewe. RONIN 2 - UTA Ronin anakutana na rafiki wa zamani na anaanza kujifunza kwa kutumia sensei wake, ambapo anajifunza kuwa hakuna lisilowezekana.
Matukio yake yanakuwa mengi anapokuwa akiwatetea wanyonge na akiutumia uwezo wake vyema. Ronin anajifunza mengi kuhusu yeye mwenyewe, na inawezekana, pia kuhusu anakotoka. RONIN 3 - MKUKI Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali mengi zaidi yanaibuka.
Katika tukio la hivi karibuni, Ronin alikaribia kujua yeye ni nani na jinsi gani anaweza kuwasaidia wale wote anaowajali sana. RONIN 4 - KUCHA Ronin anaendelea na safari yake ya kuelekea Meifumado. Njiani, anashambuliwa na maadui ambao ni waovu zaidi kuliko chochote ambacho aliwahi kukutana nacho. Akiungana na marafiki zaidi, analazimika kufanya uamuzi mgumu na kuvishinda vikwazo vyake vigumu zaidi. RONIN 5 - KUONYESHA Katika sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ronin, Ronin anasafiri kwenda Meifumado kukutana na hatima yake na kuyaokoa maisha ya Azami.
Ni kwa kupigana na Kivuli cha Mfalme na jeshi lake la mapepo wabaya ambapo Ronin anajifunza kuhusu mambo yake ya kale, familia yake na jinsi anavyoweza kutenda kulingana na jinsi alivyo na jinsi anavyoamini. Katika hali ngumu zaidi, lazima Ronin akumbuke jinsi shujaa wa kweli anavyopaswa kuwa.

Caractéristiques

  • Date de parution
    22/11/2019
  • Editeur
  • Collection
  • ISBN
    978-87-26-31611-7
  • EAN
    9788726316117
  • Format
    ePub
  • Nb. de pages
    80 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages
      80
    • Taille
      92 Ko
    • Protection num.
      Digital Watermarking

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

2,99 €