Tanzi (7) Katika Maisha Yako. - E-book - ePub

Winfrid Luoga

Note moyenne 
 Winfrid Luoga - Tanzi (7) Katika Maisha Yako..
Tanzi 7 Katika Maisha Yako ni kitabu kinachoeleza baadhi ya a mambo yanayotufanya tushindwe kuishi vizuri au kufikia hatua flani ya maisha tunayoitaka.... Lire la suite
4,49 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Tanzi 7 Katika Maisha Yako ni kitabu kinachoeleza baadhi ya a mambo yanayotufanya tushindwe kuishi vizuri au kufikia hatua flani ya maisha tunayoitaka. Katika kitabu hiki, utajifunza kutambua tanzi mbalimbali zinazokusonga na kuweza kuepukana nazo au kuzipunguza ili kusonga mbele katika Maisha Yako.

Caractéristiques

  • Date de parution
    23/07/2021
  • Editeur
  • ISBN
    8201294168
  • EAN
    9798201294168
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

À propos de l'auteur

Biographie de Winfrid Luoga

Winfrid Luoga ni kijana aliezaliwa wilaya ya Mbinga. Alianza safari yake ya masomo katika shule ya msingi Litundu iliyopo wilaya ya Mbinga Kijiji Cha Kindimba Juu na kuendelea na masomo yake ya sekondari katika shule ya sekondari Ruanda na Tosamaganga. Alijiunga na Chuo kikuu Cha Dodoma mwaka 2012 akisomea elimu maalum na uchumi na kupata shahada yake ya kwanza ya heshima mwaka 2015.

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

4,49 €