Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua - Kujitambua, #1 - E-book - ePub

Pr. Deogratius Samba

Note moyenne 
 Pr. Deogratius Samba - Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua - Kujitambua, #1.
Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya... Lire la suite
3,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya moja na zaidi ya hayo, kila mmoja ana saa 24 tu katika siku. Kwa kutumia tafiti mbalimbali, nukuu za wenye hekima na za Biblia na mifano halisi, kitabu kinaonesha jinsi kila mtu anavyoweza kujitambua na kuchukua hatua. Kwa kuzingatia mashauri katika kitabu hiki, utaweza kutimiza njozi zako ungali na nguvu na kumaliza siku za maisha yako kwa amani.
Kitabu hiki  kitaongeza hamasa na matumaini ya jinsi unavyoweza kuanza au kuboresha hatua yoyote ya maisha yako. Unaweza kuishi maisha ya mafanikio katika viwango vya kidunia na vya Mbinguni pia.

Caractéristiques

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      Contenu protégé

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

3,99 €